Ili uweze kupata leseni ya biashara yako kwanza unatakiwa uwe na namba ya Mlipa kodi yaani TIN na Clearance fomu kutoka Mamlaka ya Mapato (TRA), Kisha unatakiwa kujaza fomu ya maombi ya biashara na kuipeleka kwa Afisa Biashara Ofisi ya Mkurugenzi
Halmashauri ya Manispaa Tabora - Barabara ya Boma
Anwani ya Posta: S.L.P 174 Tabora
Simu ya Ofisi: 026-2604315/6088
Simu ya Mkononi: 0786820518
Barua Pepe: md@taboramc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.Haki zote zimehifadhiwa.