Wizara ya fedha imetengeneza mfumo (web portal) rasmi ili kuwawezesha Watumishi wa Umma kupata "salary slip" kwa urahisi zaidi
Hatua ya kwanza kabla ya kutumia mfumo huu wa kupata salary slip unatakiwa ujisajili kwa kubofya sehemu iliyoandikwa
Register ili uweze kuanza kujisajili kwa kuingiza taarifa zako sahihi zinazohitajika
Taarifa zinazohitajika
|
|
|
|
|
|
|
|
|
Baada ya kuingiza taarifa za awali bofya sehemu iliyoandikwa Register ili uweze kwenda ukarasa unaofuata kwa ajili ya kujaza
Baada ya usajili kukamilika unaweza kuanza kutumia mfumo huu kupata Salary slip yako baada ya saa 24
Halmashauri ya Manispaa Tabora - Barabara ya Boma
Anwani ya Posta: S.L.P 174 Tabora
Simu ya Ofisi: 026-2604315/6088
Simu ya Mkononi: 0786820518
Barua Pepe: md@taboramc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.Haki zote zimehifadhiwa.