Halmashauri ina jumla ya watu 226,999 (Sensa ya watu na Makazi, 2012)
Halmashauri ina jumla ya Kata 29, Vijiji 41, Mitaa 154 na Vitongoji 137 na wastani wa watu kwa kaya ikiwa ni Watu 4.7
VITUO VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA
Katika Halmashauri ya Manispaa kuna Jumla ya Vituo vya kutolea Huduma za Afya 44 kama ifuatavyo;
Na
|
Aina ya Kituo
|
Umiliki
|
|
|||||
|
|
Serikali Kuu
|
Halmashauri
|
Dini
|
Binafsi kwa Faida
|
Shirika la Umma
|
Taasisi ya Serikali/Jeshi
|
JUMLA
|
1
|
Hospitali
|
1
|
0
|
1
|
0
|
0
|
1
|
3
|
2
|
Vituo vya Afya
|
0
|
0
|
1
|
2
|
0
|
0
|
3
|
3
|
Zahanati
|
0
|
22
|
6
|
3
|
1
|
5
|
37
|
4
|
Maternity Home
|
0
|
0
|
0
|
1
|
0
|
0
|
1
|
|
JUMLA
|
|
|
|
|
|
|
44
|
NB:-Hospitali kubwa ya Binafsi yenye hadhi ya rufaa inakamilishwa kujengwa na inatarajiwa kufunguliwa rasmi mwezi Disemba 2016. Ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Manispaa ya Tabora awamu ya kwanza ‘Consultation Block’ umeshakamilika ukihusisha Ujenzi wa Msingi, ngazi, Nguzo na slab umeshakamilika
Idara ya Afya katika ngazi ya Halmashauri na Ngazi ya Zahanati ina akaunti ambazo hutumika kuweka na kutoa fedha za vyanzo mbalimbali,ambapo akaunti hizo ni kama ifuatavyo:-
NA
|
JINA LA KITUO
|
JINA LA AKAUNTI
|
NAMBA YA AKAUNTI
|
JINA LA BENKI
|
1
|
Idara ya Afya
|
Tabora MC Health Sector
|
51010016411
|
NMB
|
2
|
Zahanati ya Block Farm
|
Block Farm Dispensary
|
51010017801
|
NMB
|
3
|
Zahanati ya Ng’ambo
|
Ng’ambo Dispensary
|
51010011507
|
NMB
|
4
|
Zahanati ya Manoleo
|
Kamati ya Afya Manoleo
|
51010007292
|
NMB
|
5
|
Zahanati ya Kalunde
|
Kalunde Dispensary
|
51010007490
|
NMB
|
6
|
Zahanati ya Malolo
|
Zahanati ya Malolo
|
51010011946
|
NMB
|
7
|
Zahanati ya Cheyo
|
Zahanati Cheyo
|
51010010877
|
NMB
|
8
|
Zahanati ya Town
|
Town Clinic Dispensary
|
51010009292
|
NMB
|
9
|
Zahanati ya Mtakuja
|
Mtakuja Dipsensary
|
51010009236
|
NMB
|
10
|
Zahanati ya Ifucha
|
Kamati ya Zahanati Ifucha
|
51010013580
|
NMB
|
11
|
Zahanati ya Ndevelwa
|
Zahanati ya Ndevelwa
|
51010007363
|
NMB
|
12
|
Zahanati ya Uyui
|
Zahanati ya Uyui
|
51010011356
|
NMB
|
13
|
Zahanati ya Isevya
|
Zahanati ya Isevya
|
51010007375
|
NMB
|
14
|
Zahanati ya Uhazili
|
Uhazili Dispensary
|
51010019109
|
NMB
|
15
|
Zahanati ya Kakola
|
Kakola Dispensary
|
51010008101
|
NMB
|
16
|
Zahanati ya Tumbi
|
Kamati ya Afya Zahanati-Tumbi
|
51010007179
|
NMB
|
17
|
Zahanati ya Umanda
|
Umanda Dispensary
|
51010011886
|
NMB
|
18
|
Zahanati ya Kiloleni
|
Zahanati ya Kiloleni
|
51010007735
|
NMB
|
19
|
Zahanati ya Itaga
|
Itaga Dispensary
|
51010011537
|
NMB
|
20
|
Zahanati ya Imalamihayo
|
Imalamihayo Dispensary
|
51010016654
|
NMB
|
21
|
Zahanati ya Itetemia
|
Zahanati ya Itetemia
|
51010011652
|
NMB
|
22
|
Zahanati ya Ntalikwa
|
Ntalikwa Dispensary
|
51010011794
|
NMB
|
23
|
Zahanati Ikomwa
|
Zahanati ya Komwa
|
51010010998
|
NMB
|
Akaunti hizi zilifunguliwa kwa maelekezo maalum kutoka Serikalini bila kibali chochote kutoka Hazina.
Halmashauri ya Manispaa ya Tabora haina Akaunti ya Hospitali kwani bado ujenzi wa Hospitali haujakamilika.
Fedha zinazoingia katika akaunti ya afya ni fedha za: Mfuko wa Pamoja wa Afya (Health Basket Fund), Ruzuku ( Health Block Grant- OC) na EGPAF, Global Fund, Central Government Other Source.
Mipango ya afya inashirikisha ngazi mbalimbali ikiwemo ngazi ya jamii na wadau mbalimbali na kutengeza mpango mmoja uliojumuisha Vituo vya Afya na Zahanati.Katika Mwaka wa Fedha 2017/2018 Halmashauri imejipanga kutengeneza mpango wa kila kituo.
Katika Halmashauri ya Manispaa ya Tabora bajeti zilizopitishwa kwa mwaka wa Fedha 2014/2015, 2015/2016, 2016/2017 ilikuwa ni kama inavyoonekana katika jedwali hapa chini.
Jedwali Na. 1 Bajeti iliyopitishwa 2014/2015
|
Jedwali Na. 2 Bajeti iliyopitishwa 2015/2016
CHANZO CHA FEDHA
|
KIASI KILICHOPANGWA |
% |
MAPOKEZI |
|
Local Government Block Grants |
PE
|
2,835,207,614.00 |
49.7 |
2,800,863,390.00 |
OC
|
156,156,000.00 |
2.7 |
43,837,200.33 |
|
Council Health Basket Grant
|
|
305,239,000.00 |
5.4 |
305,239,000.00 |
Receipt in kind
|
|
76,036,000.00 |
1.3 |
60,856,900.00 |
Council Own Resources
|
|
41,960,000.00 |
0.7 |
3,500,000.00 |
LGDG
|
|
962,000,000.00 |
16.9 |
0.00 |
Cost Sharing and Insurance Funds |
User Fees/DRF
|
25,000,000.00 |
0.4 |
20,440,792.00 |
NHIF
|
14,000,000.00 |
0.2 |
15,402,614.00 |
|
CHF/TIKA
|
200,902,500.00 |
3.5 |
12,780,000.00 |
|
EGPAF
|
|
372,764,900.00 |
|
231,907,842.00 |
CETRAL GOVERNMENT OTHER SOURCE
|
|
7,200,000.00 |
|
3,000,000.00 |
Grand Total
|
5,699,982,014.00
|
100 |
3,497,827,738.53 |
Jedwali Na. 3 Bajeti iliyopitishwa 2016/2017
CHANZO CHA FEDHA
|
KIASI KILICHOPANGWA |
% |
MAPOKEZI |
|
Local Government Block Grants |
PE
|
4,809,159,224.00 |
49 |
735,355,800.00 |
OC
|
58,828,000.00 |
0.6 |
4,902,000.00 |
|
Council Health Basket Grant
|
|
477,225,000.00 |
4.9 |
238,612,500.00 |
Receipt in kind
|
|
178,227,000.00 |
1.8 |
0.00 |
Council Own Resources
|
|
28,540,000.00 |
0.3 |
0.00 |
LGDG
|
|
954,751,000.00 |
9.7 |
0.00 |
Cost Sharing and Insurance Funds |
User Fees/DRF
|
32,523,809.00 |
0.3 |
12,260,695.00 |
NHIF
|
14,460,000.00 |
0.1 |
3,525,000.00 |
|
CHF/TIKA
|
686,802,000.00 |
7.0 |
4,220,000.00 |
|
Other(Specify)
|
|
2,506,623,315.00
|
25.6 |
0.00 |
Grand Total
|
9,805,889,347.00
|
100
|
998,875,995.00
|
Halmashauri ya manispaa ya Tabora bado haijaanza kutumia mfumo wa kielektroniki katika kukusanya mapato badala yake bado inaendelea kutumia mfumo wa kukusanya mapato kwa kutumia mfumo wa kawaida katika vituo vyote vya kutolea huduma za afya.Halmashauri imejipanga kuanza kutumia mifumo ya kielekroniki katika kukusanya mapato katika vituo vitano ambavyo vina wateja wengi ambavyo ni Ng’ambo, Kiloleni, Isevya,Town Clinic na Cheyo na baadae kuanza katika vituo vilivyobaki.
Mfuko wa Afya ya Jamii (TIKA)
Halmashauri ya manispaa ya Tabora ilianza rasmi kusajiri wanachama wa Tiba kwa kadi (TIKA) tarehe 10/02/2016.Mpaka sasa maombi ya Tele kwa tele yapo kwenye maandalizi.ya awali ikiwa ni pamoja na kuzikusanya risiti za mapato.
Ongezeko la wanachama lipo kwa sababu Halmashauri ilianza kutekekeleza rasmi tarehe 10/02/2016 kwa mwezi huo ikiwa na wanachama 92 ambapo ni sawa na 0.2% na ampaka tarehe 18/11/2016 kulikuwa na wanachama 1,802 ambapo sawa na 4.7% wananufaika na TIKA.
Mipango ni kuongeza wanachama zaidi kwa kutumia mikakati ifuatayo:
Taarifa ya mapato, mapokezi na matumizi ya fedha kulingana na mipango ya Afya zikiwemo bakaa zilizoripotiwa,taarifa hiyo ni kama inavyoonekana katika jedwali Na. 4-6 hapa chini;
VYANZO VYA MAPATO
|
MFUKO
|
SALIO ANZIA
|
BAJETI ILIYOIZINISHWA
|
FEDHA ZILIZOPOKELEWA
|
MATUMIZI
|
SALIO ISHIA
|
Local Government Block Grant
|
PE
|
0.00 |
2,416,851,612.00 |
2,426,966,220.09 |
2,426,966,220.09 |
0.00 |
OC
|
62,332,775.00 |
185,229,000.00 |
84,520,980.00 |
138,589,580.67 |
8,264,174.33 |
|
Health sector basket Fund-HSBF
|
HSBF
|
53,665,066.87 |
393,495,000.20 |
393,499,615.00 |
436,387,923.87 |
10,776,758.00 |
Global Fund
|
|
41,725,811.05 |
122,576,000.00 |
0.00 |
41,725,810.61 |
0.44 |
Health Sector Development Grant-HSDG/MMAM
|
MMAM
|
57,058,396.90 |
104,751,000.00 |
0.00 |
55,998,604.90 |
1,059,792.00 |
LGDG-Capital Development Grant-CDG
|
CDG
|
0.00 |
857,249,000.00 |
0.00 |
0.00 |
0.00 |
Central government via MSD
|
|
100,382,120.00 |
128,613,000.00 |
128,613,000.00 |
215,004,600.00 |
13,990,520.00 |
Cost Sharing and Insurance Funds
|
User Fee
|
0.00 |
18,990,000.00 |
16,103,781.00 |
3,140,000.00 |
12,963,781.00 |
NHIF
|
0.00 |
10,800,000.00 |
13,054,165.00 |
0.00 |
13,054,165.00 |
|
CHF
|
0.00 |
38,437,500.00 |
0.00 |
0.00 |
0.00 |
|
Own source
|
OC
|
0.00 |
18,000,000.00 |
8,440,606.00 |
7,268,000.00 |
1,172,606.00 |
NGO Partners
|
|
0.00 |
640,000,000.00 |
0.00 |
0.00 |
0.00 |
Mult and Bilateral Partners
|
|
22,335,578.38 |
196,174,000.00 |
232,381,368.00 |
192,294,871.78 |
62,422,074.60 |
Central Government Other Source
|
|
0.00 |
40,000,000.00 |
0.00 |
0.00 |
0.00 |
JUMLA
|
337,499,748.20 |
5,171,166,112.20 |
3,303,579,735.09 |
3,517,375,611.92 |
123,703,871.37 |
Jedwali Na 4. Taarifa ya mapato, mapokezi na matumizi kwa mwaka wa fedha 2014/2015
JEDWALI NA 5. Taarifa ya mapato, mapokezi na matumizi kwa mwaka wa fedha 2015/2016
VYANZO VYA MAPATO
|
MFUKO
|
SALIO ANZIA
|
BAJETI ILIYOIZINISHWA
|
FEDHA ZILIZOPOKELEWA
|
MATUMIZI
|
SALIO ISHIA
|
Local Government Block Grant
|
PE
|
0.00 |
2,835,207,614.00 |
2,800,863,390.00 |
2,800,863,390.00 |
0.00 |
OC
|
30,568,174.33 |
156,156,000.00 |
`43,837,200.33 |
74,047,500.00 |
357,874.66 |
|
Health sector basket Fund-HSBF
|
HSBF
|
10,776,758.00 |
305,239,000.00 |
305,239,000.00 |
175,891,859.88 |
140,123,898.12 |
Global Fund
|
|
0.00 |
63,516,000.00 |
0.00 |
0.00 |
0.00 |
Health Sector Development Grant-HSDG/MMAM
|
MMAM
|
1,059,792,00 |
0.00 |
0.00 |
0.00 |
1,059,792,00 |
LGDG-Capital Development Grant-CDG
|
CDG
|
0.00 |
961,999,999.90 |
0.00 |
0.00 |
0.00 |
Central government via MSD
|
|
0.00 |
76,036,000.00 |
60,856,900.00 |
60,856,900.00 |
0.00 |
Cost Sharing and Insurance Funds
|
User Fee
|
12,963,781.00 |
25,000,000.00 |
20,440,792.00 |
22,143,808.00 |
11,260,765.00 |
NHIF
|
13,054,166.00 |
14,000,000.00 |
15,402,614.00 |
22,255,657.75 |
6,201,122.25 |
|
CHF/TIKA
|
0.00 |
200,902,500.00 |
12,780,000.00 |
0.00 |
12,780,000.00 |
|
Own source
|
OC
|
0.00 |
41,960,000.00 |
3,500,000.00 |
3,500,000.00 |
0.00 |
NGO Partners
|
|
0.00 |
640,000,000.00 |
0.00 |
0.00 |
0.00 |
Mult and Bilateral Partners
|
|
62,344,153.00 |
372,764,900.00 |
231,907,842.20 |
241,516,994.20 |
52,735,001.00 |
Central Government Other Source
|
|
0.00 |
7,200,000.00 |
3,000,000.00 |
3,000,000.00 |
0.00 |
JUMLA
|
130,766,824.33 |
5,699,982,013.90 |
3,497,827,738.53 |
3,404,076,109.83 |
224,581,453.03 |
VYANZO VYA MAPATO
|
MFUKO
|
SALIO ANZIA
|
BAJETI ILIYOIZINISHWA
|
FEDHA ZILIZOPOKELEWA
|
MATUMIZI
|
SALIO ISHIA
|
Local Government Block Grant
|
PE
|
0.00 |
4,809,159,224.00 |
735,355,800.00 |
735,355,800.00 |
0.00 |
OC
|
564,278.66 |
58,828,000.00 |
9,804,000.00
|
2,995,000.00 |
6,908,000.00 |
|
Health sector basket Fund-HSBF
|
HSBF
|
140,123,898.12 |
477,225,000.00 |
238,612,500.00 |
36,310,725.00 |
342,425,678.10 |
LGDG-Capital Development Grant-CDG
|
CDG
|
0.00 |
954,751,000.00 |
0.00 |
0.00 |
0.00 |
Central government via MSD
|
|
0.00 |
178,227,000.00 |
0.00 |
0.00 |
0.00 |
Cost Sharing and Insurance Funds
|
User Fee
|
0.00 |
32,523,809 |
12,260,695.00 |
8,000,000.00 |
4,260,695.00 |
NHIF
|
0.00 |
14,459,999.90 |
3,525,000.00 |
2,000,000.00 |
1,525,000.00 |
|
CHF/TIKA
|
0.00 |
686,801,999.56 |
4,220,000.00 |
0.00 |
4,220,000.00 |
|
Own source
|
OC
|
0.00 |
28,540,000.00 |
0.00 |
0.00 |
0.00 |
NGO Partners
|
|
0.00 |
215,910,000.00 |
0.00 |
0.00 |
0.00 |
Mult and Bilateral Partners
|
|
49,048,308.67 |
2,347,333,314.70 |
0.00 |
47,875,586.54 |
1,172,722.13 |
Central Government Other Source
|
|
0.00 |
7,200,000.00 |
0.00 |
0.00 |
0.00 |
JUMLA
|
189,736,485.45 |
9,810,959,347.16 |
1,003,777,995.00 |
832,537,111.54 |
360,512,095.23 |
JEDWALI NA 6. Taarifa ya mapato, mapokezi na matumizi kwa mwaka wa fedha 2016/2017
Taarifa ya hoja za ukaguzi pamoja na utekelezaji wake ni kama inavyooneka kwenye taarifa ya CAG 2014/2015.Nakala ya final accounts ya Basket Fund 2014/2015 na 2015/2016
HRH and Administration
Halmashauri ya Manispaa ya Tabora kupitia Idara ya afya ina jumla ya watumishi 260 kati ya watumishi 552 wanaohitajika. Upungufu ni watumishi 292 sawa na aslimia 52.9%. Hali hii inapelekea vituo vingi kuendeshwa na kusimamiwa na wauguzi pekee, aidha inapanga watumishi na inafanya ‘Redistribution’ katika vituo vya kutolea huduma ili kuleta uwiano katika vituo vya kutolea huduma za Afya.
Orodha ya watumishi walivyopangwa kwenye vituo na ‘redistribution’ ambayo imekwisha fanyika inayoonesha watumishi walivyohamishwa ni kama inavyoonekana katika kiambatanisho “A” na “B”.
Changamoto zinazoikabili Halmashauri kwa upande wa Rasimali watu ni kama ifuatavyo;
i.Uhaba wa watumishi hasa wauguzi na Maafisa Tabibu unaopelekea ugumu wa kufanya redistribution hasa kwa watumishi ambao wamepata mafunzo ya mitaala mbalimbali inayolenga kuboresha hali ya utoaji wa huduma katika kituo ambacho mtumishi anafanya kazi.
ii. Kupungua kwa ukomo wa bajeti ya Matumizi mengineyo kutoka Tsh 156,156,000(Mwaka 2015/2016) hadi Tsh.58, 828,000 (2016/2017) ambayo ni sawa na punguzo la Tsh.97, 328,000 (62.3%) hali inayopelekea madai mbalimbali ya watumishi kutolipika yakiwemo ya uhamisho. Kufikia tarehe 30.06.2016 madeni ya watumishi wa Idara ya Afya ni takribani Tsh 262,214,121.00
iii. Kusitishwa kwa ajira.
Halmashauri ya Manispaa ya Tabora kila mwaka hufanya tathmini ya utendaji kazi wa watumishi kwa kutumia mfumo wa wazi wa mapitio na tathmini ya utendaji kazi (OPRAS). Aidha katika mwaka wa fedha 2015/2016 Halmashauri iliomba watumishi 84 wa sekta ya afya na kwa mwaka wa fedha 2016/2017 ni watumishi 367 ambapo hadi sasa hakuna mtumishi aliyeajiriwa.
Katika mwaka wa fedha 2016/2017 halamshauri imetenga kiasi cha Tsh. 21,480,000.00 ambapo Tsh. 6,720,000.00 ni kwa ajili ya watumishi wapya na Tsh. 3,000,000.00 kwa ajili ya wastaafu kupitia OC na Tsh 11,760,000.00 kwa ajili ya ‘Redistribution’.
Kumbukumbu za watumishi hutunzwa katika mafaili ya watumishi yaliyoko katika ofisi ya mkurugenzi wa Manispaa, katika mwaka wa fedha 2016/2017 idara imetenga kiasi cha Tsh. 21,000,000.00 kwa ajili ya kuweka shelf katika ofisi ya mganga mkuu ikiwa ni pamoja na kununua mafaili yatakayotumika kutunza kumbukumbu za watumishi.Hata hivyo kwa kuanzia kumbukumbu zote za wajumbe wa CHMT zinatunzwa katika Ofisi ya mganga Mkuu na Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa.
Halmashauri hulipa stahiki mbalimbali za watumishi ikiwa ni pamoja na Nauli za likizo, kusafirisha watumishi wanaostaafu,hata hivyo pale ambapo inashindikana kulipwa kutokana na uhaba wa fedha stahiki hizo huwekwa katika orodha ya madeni ambapo madeni yote kufikia Tarehe 30/10/2016 kiasi cha Tsh 262,214,121.00 ambapo Madeni ya Tsh. 142,395,521.00 yamehakikiwa na madeni ya Tsh. 119,818,600.00 hayajahakikiwa.
Ifuatayo ni orodha ya madeni yasiyo mishahara ambayo watumishi wa sekta ya afya wanadai;
Na.
|
AINA YA MADAI
|
KIASI
|
|
UCHUNGUZI WA MAITI
|
1,100,000.00
|
|
SAMANI
|
4,000,000.00
|
|
NAULI ZA WASTAAFU
|
24,550,000.00
|
|
UHAMISHO
|
56,571,251.00
|
|
SIMU NA UMEME
|
2,340,000.00
|
|
NAULI ZA LIKIZO
|
4,602,000.00
|
|
MATIBABU
|
32,864,000.00
|
|
KUKAIMU OFISI
|
19,319,500.00
|
|
NYUMBA
|
3,320,000.00
|
|
POSHO YA UNIFORM
|
32,760,000.000
|
|
KUJIKIMU
|
13,234,700.00
|
|
MASOMO
|
22,607,670.00
|
|
CALL ALLOWANCE
|
44,945,000.00
|
|
JUMLA
|
262,214,121.00
|
Orodha ya wadau wa maendeleo katika idara ya afya waliopo katika Halmashauri ya Manispaa Tabora
NA |
JINA LA MDAU |
KAZI WANAZOFANYA |
MRADI WALIOSADIA |
1. |
ELIZABERTH GLASER PEADITRIC AIDS FOUNDATION(EGPAF) |
|
|
2. |
JHPIEGO |
|
|
3. |
TABORA DEVELOPMENT FONDATION TRUST(TDFD) |
|
|
4. |
TANZANIA REDCROSS SOCIETY |
|
|
5. |
SHIRIKA LA WALEMAVU TANZANIA (SHIVYAWATA) |
|
|
6. |
CHRISTIAN YOUTH NETWORK |
|
|
7. |
TABORA CARES FOR PEOPLE LIVING WITH HIV/AIDS |
|
WALITOA USAFIRI COMMUNITY TB/HIV ( BAISKELI) UFUATILIAJI WAGONJWA WA HIV . |
8 |
COMPASSION INTERNATIONAL TANZANIA
|
|
|
9 |
PAMOJA TUWALEE
|
|
|
10 |
SPRITUAL LIFE IN CHRIST
|
|
|
11 |
MTAKATIFU PHILIP
|
|
|
12 |
MARIE STOPES
|
|
|
13 |
ENGENDER HEALTH
|
|
|
14 |
PSI
|
|
|
15 |
GSI
|
|
KUSAIDIA HUDUMA ZA MATIBABU,KINGA, UPIMAJI, VVU, NA UTOAJI DAWA ZA ARV ,NAKUWAJENGEA UWEZO WATUMISHI
|
16 |
IMA INTERNATIONAL
|
|
|
17 |
GLOBAL FUND
|
|
|
Vituo vya Afya na Zahanati
Halmashauri ina jumla ya maboma matatu ya vituo vya kutolea huduma za afya ambapo ndani yake ni boma moja tu lililowekwa kwenye mpango wa 2016- 2017 ambalo ni boma la ujenzi wa Hospitali ya Wilaya.Mpaka kufikia October 2016 hakuna kituo ambacho kimekamilika lakini hakifanyi kazi.
Na
|
JINA LA BOMA
|
HATUA ILIYOFIKIWA
|
GHARAMA ZILIZOTUMIKA
|
GHARAMA ZILIZOWEKWA KWENYE MPANGO 2016/2017
|
GHARAMA ZINAZOHITAJIKA KUKAMILISHA
|
1
|
Hospitali ya Wilaya
|
Ujenzi wa jengo la OPD umefikia kwenye awamu ya kwanza ambapo Msingi,Nguzo,Ngazi na Slabu tayari zimekamilika BADO Kuezekwa
|
149,963,674.80
|
200,000,000.00 (chanzo cha fedha ni CDG)
|
9,800,000,000.00
|
2
|
Zahanati ya Ituru
|
LENTA
|
NGUVU YA WANANCHI
|
9,275,000.00 (chanzo cha fedha ni CDG)
|
150,000,000.00
|
3
|
Zahanati ya Igombe
|
LENTA
|
NGUVU YA WANANCHI
|
8,177,160.00
(chanzo cha fedha ni CDG) |
150,000,000.00
|
Katika Halmashauri ya Manispaa ya Tabora kuna majengo mawili ya Vituo vya Kutolea huduma za Afya ambayo yamekamilika lakini bado hayajaanza kutoa huduma, majengo hayo ni Jengo la Hospitali ya Malolo iliyopo kata ya Malolo inayomilikiwa na Dr. Kilunga na Jengo la Zahanati ya Tabora Menonite iliyopo kata ya Malolo.
Halmashauri inampango wa kuwasaidia wananchi walio mbali na vituo vya kutolea huduma za afya inavyoonekana hapa chini;
NA.
|
KATA
|
ZAHANATI
|
KIJIJI KILICHO MBALI NA KITUO CHA HUDUMA ZA AFYA ZAIDI YA KM 5 |
JITIHADA ZINAZOFANYIKA |
1
|
KABILA
|
UMANDA
|
KABILA, KIGOMBE, IGOSHA
|
WANANCHI WA KIJIJI CHA KIGOSHA NA KIGOMBE WAMEANZA UJENZI WA ZAHANATI AMBAPO KWA SASA IPO KATIKA HATUA YA MSINGI
|
2
|
NDEVELWA
|
NDEVELWA
|
IBASA, ITULU
|
ITULU JENGO LIPO HATUA YA LENTA HALMASHAURI IMEWEKA KWENYE MPANGO WA 2016/2017 KWA AJILI YA KUKAMILISHA UJENZI.
|
3
|
IKOMWA
|
IKOMWA
|
KAPUNZE, MWIBITI,ZAIRE, IGOMBE
|
IGOMBE JENGO LIPO HATUA YA LENTA KWA NGUVU ZA WANANCHI
|
4
|
TUMBI
|
TUMBI
|
ITEMA
|
UJENZI HAUJAANZA
|
5
|
UYUI
|
UYUI
|
KALUMWA
|
UJENZI HAUJAANZA
|
Jedwali linaloonesha mchanganuo wa vituo vya kutolea huduma za afya na umiliki ni kama linavyoonekana katika kiambatanisho “C”
HALI YA UPATIKANAJI WA DAWA MUHIMU (TRACER MEDICINE) KWENYE VITUO VYA KUTOLEA HUDUMA.
Halmashauri ya Mainispaa ina vituo 44 vinavyotoa taarifa za Dawa muhimu kila mwezi, kwa mwaka 2015 Januari hadi Desemba hali ya upatikanaji wa dawa muhimu [Trecar Medicine] kwa ujumla ilikuwa ni wastani wa asilimia 91.9(91.9%), Dawa iliyopatikana kwa asilimia 98.7(98.7%) ilikuwa ni dawa ya chanjo ya DPT na bidhaa iliyopatikana kwa kiasi ni kipimo cha haraka cha Malaria MRDT ambacho kilikuwa na asilimia 82.3(82.3%)
Kwa mwaka 2016 Januari hadi Juni hali ya upatikanaji wa dawa muhimu ulishuka kwa asilimia 13.4(13.4%) ambapo wastani ilikuwa ni asilimia 78.5 (78.5%) Wasitani wa juu ilikuwa 100% kwenye dawa ya TLE (Tenofovir 300mg +Lamivudine 300mg+Efavirenz 600mg) ambayo ilipatikana kwa kipindi chote kwa vituo vyote vinavyotoa huduma ya option B+ na CTC na bidhaa iliyokuwa na wastani wa chini ilikuwa ni Mabomba ya sindano (Syringes Disposable) ambayo yalipatikana kwa wastani wa asilimia 48.4(48.4%)
Katika robo ya tatu ya mwaka 2016 mwezi Julai hadi Septemba upatikanaji wa dawa muhimu ulikuwa asilimia 89.7(89.7%) hali ya kupanda kwa kiasi hiki imetokana na kufunguliwa kwa akaunti katika vituo vya kutolea huduma vya Serikali, ambapo makusanyo ya papo kwa papo yameboreshwa baada ya TIKA kuanzishwa na kuinua kipato katika vituo vyetu vya kutolea huduma, NHIF ni chanzo kingine ambacho kinaongeza pato katika vituo na hivyo kuwezesha vituo vyetu kufanya manunuzi ya dawa na vifaa tiba ili kuinua kiwango cha upatikanaji wa dawa muhimu katika vituo vyote vya kutolea huduma, hadi Oktoba 2016 kiasi cha pesa kilichotumika kutoka vyanzo vyote vya makusanyo ngazi ya vituo ni Tsh.12,590,300.00.
Kwa chanzo cha fedha zinazoingizwa MSD katika akaunti za vituo na Wizara ya Afya (Receipt in kind) Vituo vyetu vinajumla ya deni la Tsh.36,176,128.00.ambalo vituo vimeanza kujipanga kulipa kwa kutumia makusanyo ya vituo ili kupunguza deni hilo, hata hivyo Serikali imeleta mgao wa pesa kiasi cha Tsh.29,134,000.00 ambazo zimeingizwa MSD kwa ajili ya vituo 22 vya serikali, ambapo likipunguzwa deni limebaki Tsh 7,042,128.00 .
Kwa kutumia chanzo cha mfuko wa pamoja wa Afya (Health Basket Fund) kwa mwaka wa fedha 2015/2016 Idara ilifanikiwa kufanya manunuzi ya dawa na vifaa tiba vyenye thamani ya Sh.89,113,958.12 ambavyo vilipatikana MSD vilikuwa na thamani ya Tsh. 19,896,300.00 viligawiwa kwenye Vituo vya kutolea huduma 22 vya Serikali, ambavyo havikupatikana MSD vilikuwa na thamani ya Tsh.78,217,658.12 ambavyo taratibu za manunuzi zimefikia hatua ya LPO na mzabuni ameahidi kuleta dawa hizo tarehe 25/11/2016, na dawa hizi zikipatikana zitasambazwa mara moja kwenda vituoni. Kwa mwaka huu wa fedha,halmashauri imepokea kiasi cha Tsh. TSh.30,322,585.95 kwa ajili ya dawa na Tsh.14,657,499.84 kwa ajili ya vifaa vya hospitali. Maombi ya kununua dawa na vifaa hivi yameshatumwa MSD na tayari taratibu zinaendelea hadi tarehe 30/11/2016 tunatarajia kuwa tutakuwa tumesha pata dawa kutoka bohari. Changamoto ni dawa kukosekana kwa wingi MSD hali inayopelekea kuchelewa kupatikana kwa dawa hizo kwa wakati kutokana mlolongo mrefu wa taratibu za manunuzi .
MIKAKATI.
CHMT kuendelea kuhimiza ukusanyaji wa mapato kwenye vituo ili vituo viweze kununua dawa muhimu kwenye vituo vyote kwa kutumia pesa za makusanyo kutoka kwenye vyanzo vyote vya mapato ngazi ya kituo.
HALI YA AFYA YA UZAZI NA MTOTO
HUDUMA ZA IPT
MWAKA 2015 |
MWAKA 2016 |
||||
WALIOHUDHURIA |
IPT 2 |
IPT 4 |
WALIOHUDHURIA |
IPT 2 |
IPT 4 |
26,535 |
4,487 (17%) |
1,384 (5%) |
26,100 |
3,108 (12%) |
1,261 (5%) |
JUMLA YA WALIOJIFUNGUA
JUMLA YA WALIOJIFUNGUA
|
2015 |
2016 |
|||||||
KITUONI |
BBA |
TBA |
HOME |
JUMLA YA WALIOJIFUNGUA |
KITUONI |
BBA |
TBA |
NYUMBANI |
|
10,353
|
9,922 (95.8%) |
266 (2.6%) |
87 (0.8%) |
78 (0.7%) |
8,841 |
8,477 (95.8%) |
234 (2.6%) |
59 (0.7%) |
71 (0.8%) |
HUDUMA BAADA YA KUJIFUNGUA
JUMLA YA WALIOJIFUNGUA
|
2015 |
2016 |
|||
NDANI SAA 48 |
WALIO KAMILISHA MAHUDHURIO 4 |
JUMLA YA WALIOJIFUNGUA |
NDANI SAA 48 |
WALIO KAMILISHA MAHUDHURIO 4 |
|
10,353
|
2,386 (23%) |
1472 (61.6%0 |
8,841 |
7,288 (84%) |
1,424 (19.5%) |
TAARIFA YA VIFO VYA AKINA MAMA VITOKANAVYO NA MATATIZO YA UZAZI
SABABU YA KIFO
|
MWAKA 2015
|
MWAKA 2016
|
KIFAFA CHA MIMBA
|
5
|
4
|
UAMBUKIZO
|
5
|
3
|
KUTOKA DAMU NYINGI BAADA YA KUJIFUNGUA
|
7
|
1
|
PIH
|
5
|
0
|
DAWA YA KIENYEJI
|
1
|
2
|
SABABU NYINGINE
|
1
|
3
|
HIV/AIDS
|
0
|
2
|
KUTOKA DAMU NYINGI KABLA YA KUJIFUNGUA
|
0
|
4
|
KUCHANIKA KIZAZI
|
0
|
2
|
UPUNGUFU WA DAMU
|
0
|
3
|
JUMLA
|
24
|
24
|
VIFO VYA WATOTO CHINI YA MIAKA 5 NGAZI YA KITUO
SABABU YA KIFO
|
MWAKA 2015
|
MWAKA 2016
|
MALARIA
|
98
|
21
|
KICHOMI CHA MAPAFU
|
40
|
14
|
UTAPIA MLO
|
7
|
1
|
KUUNGUA MOTO
|
1
|
0
|
ANAEMIA
|
0
|
4
|
MENINGITIS
|
0
|
2
|
MAAMBUKIZI NJIA YA HEWA
|
0
|
3
|
KUHARISHA
|
0
|
1
|
UAMBUKIZO
|
0
|
21
|
NJITI
|
0
|
16
|
MENGINEYO
|
0
|
6
|
JUMLA
|
147
|
137
|
VIFO VYA WATOTO CHINI YA MIAKA 5 NGAZI YA JAMII
SABABU YA KIFO
|
MWAKA 2015
|
MWAKA 2016
|
KICHOMI CHA MAPAFU
|
4
|
0
|
MAGONJWA YA NJIA YA HEWA
|
4
|
0
|
MENGINEYO
|
2
|
1
|
KUHARISHA
|
0
|
2
|
DEGEDEGE
|
0
|
1
|
JUMLA
|
10
|
4
|
VIFO VYA WATOTO WACHANGA
SABABU YA KIFO
|
MWAKA 2015
|
MWAKA 2016
|
UAMBUKIZO
|
3 |
20
|
KICHOMI CHA MAPAFU
|
2 |
3
|
NJITI
|
1 |
16
|
NYUZI JOTO CHINI 35C
|
1 |
9
|
SABABU NYINGINE
|
5 |
2
|
MALARIA
|
0 |
1
|
KUSHUKA SUKARI
|
0 |
1
|
KUSHINDWA KUPUMUA
|
0 |
50
|
JUMLA
|
12 |
102
|
AFYA YA UZAZI KWA VIJANA
MIMBA ZA UTOTONI
Kwa kipindi cha mwezi Januari 2014 hadi Mwezi Julai 2016 jumla ya wasichana waliopata mimba za utotoni (Chini ya Umri wa Miaka 20) ni 5,858 (20.7%)
Na
|
MWAKA
|
IDADI YA WAJAWAZITO CHINI YA UMRI WA MIAKA 20
|
IDADI YA WAJAWAZITO CHINI YA UMRI WA MIAKA 20
|
JUMLA
|
1
|
2014
|
2,339 (20.3%)
|
9,172 (79.7%)
|
11,511
|
2
|
2015
|
2,294 (20.9%)
|
8,646 (79.04%)
|
10,940
|
3
|
Jan.2016 – Julai 2016
|
1,225 (26.4%)
|
4,647 (73.6%)
|
5,872
|
4
|
JUMLA
|
5,858 (20.7%)
|
22,465 (79.3%)
|
28,323
|
Manispaa ya Tabora kwa kushirikiana na EGPAF imeendesha mafunzo kwa watumishi wa Zahanati za Cheyo na Town juu ya Afya rafiki ya Uzazi kwa vijana
Wilaya inakamilisha andiko la ujenzi wa kituo cha Huduma rafiki za Afya ya Uzazi kwa vijana katika Zahanati ya Isevya
MIKAKATI YA KUBORESHA UTOAJI WA HUDUMA RAFIKI KWA VIJANA
HALI YA CHANJO
Asilimia ya watoto ambao waliopata chanjo ya PENTA3 wameongezeka ambapo mwaka 2016 (January 2016-October 2016) walikuwa 7,842 (101%) kati ya watoto waliolengwa 9,343 na 2015 (Januari 2015 hadi Desemba 2015) walikuwa 9,485(104%) kati ya watoto waliolengwa 9,151 ukilinganisha na watoto waliochanjwa 1,219 (95.5%) kati ya 13,366 waliolengwa kwa mwaka 2014 (Januari 2014 hadi Desemba 2014)
TAARIFA YA HUDUMA ZA VVU NA UKIMWI
Halmashuri ya manispaa ya Tabora kupitia idara ya afya imekuwa ikiendelea na juhudi za mapambano dhidi ya maambukizi ya VVU na UKIMWI.
SHUGHULI ZILIZOFANYIKA/ ZINAZOFANYIKA,
KWA KIPINDI CHA JANUARY HADI DECEMBER 2015.
JEDWALI, 1A: IDADI YA WATU WALIOPIMWA VVU.
Idadi ya waliopimwa
|
Me
|
Ke
|
Waliopimwa wakagundulika kuwa na maambukizi ya VVU
|
Hali ya maambukizi
|
Wanaume wenye maambukizo ya VVU
|
Hali ya maambukizi
|
Waliopimwa na kugunduliwa na VVU
|
Hali ya maambukizi
|
30,271
|
14,502
|
15,769
|
1,682
|
5.5%
|
576
|
4%
|
1,106
|
7%
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
HUDUMA ZA MATUNZO NA MATIBABU
Idadi ya wateja waliosajiliwa kwenye huduma za matunzo na matibabu (cumulative) ni 50,494, kati ya hao wanaume ni 17,544 na wanawake ni 32,950.
Idadi ya wateja ambao wanaotumia dawa za ARV (cumulative) ni 33,685 kati ya hao wanaume ni 11,130 na wanawake ni 22,555.
JEDWALI ,1 B; WATEJA WALIOSAJILIWA KWA MWAKA 2015
IDADI YA WALIOSAJILIWA
|
WANAUME
|
WANAWAKE
|
1,232
|
392
|
835
|
JEDWALI 1 C; WATEJA WALIOANZA MATIBABU YA ARV KWA MWAKA 2015
WATEJA WALIOANZA DAWA ZA ARV
|
WANAUME
|
WANAWAKE
|
1,168
|
337
|
831
|
HUDUMA ZA WAGONJWA NYUMBANI (HBC) KWA MWAKA 2015
Idadi ya wagonjwa wote walioandikishwa ni 4,879 kati ya hao wanaume ni 2,013 na wanawake ni 2,869.
Walioandikishwa na wako kwenye huduma za matunzo na matibabu ( CTC) ni 4,261 kati ya hao wanaume ni 1,759 na wanawake ni 2,502.
Walioandikishwa CTC na ambao hawajaanza dawa za ARV ni 621, kati ya hao wanaume 254 na wanawake 367
JEDWALI 1 D; HUDUMA ZA WAGONJWA NYUMBANI
Wateja ya waliondikishwa kwenye huduma za CTC.
|
Wanaume
|
asilimia
|
Wanawake
|
Asilimia
|
4,261
|
1,759
|
41.2%
|
2,502
|
58.7%
|
|
|
|
|
|
Waliandikishwa CTC lakin hawajaanza Dawa za ARV
|
Wanaume
|
asilimia
|
Wanawake
|
Asilimia
|
621
|
254
|
41%
|
367
|
59%
|
JEDWALI 1, E; RUFAA ZILIZOTOLEWA KUTOKA NGAZI YA JAMII KWENDA VITUO VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA
JAN HADI DEC/ 2015
|
RUFAA ZILIZOTOLEWA
|
RUFAA ZILIZOFANIKIWA
|
JUMLA
|
403
|
341
|
HUDUMA ZA KUZUIA MAAMBUKIZO KUTOKA KWA MAMA KWENDA KWA MTOTO (PMTCT) KWA MWAKA 2015.
JEDWALI 1, F; HUDUMA PMTCT YA KUPIMA VVU WAJAWAZITO (ANC)
H/MASHAURI
|
WAJAWAZITO
|
KIPIMO CHA KWANZA
|
KIPIMO CHA PILI
|
||||||
|
TEGEMEWA
|
HUDHURIA
|
WANA VVU TAYARI
|
USHAURI, 1
|
PIMA
|
HIV+
|
USHAURI
2 |
PIMA
|
HIV
|
TABORA MC
|
9,893
|
10,953
|
174
|
10,519
|
10,126
|
263
|
4,210
|
1,273
|
5
|
JANUARY HADI JUNE /2016
Idadi ya wateja waliopimwa VVU ni 40,060 kati ya hao wanaume ni 18,976 na wanawake ni 21,084.
Idadi ya waliopimwa na kugunduliwa wanamaambukizo ya VVU ni 1444, kati ya hao wanaume ni 552 ni sawa na asilimia 2.9. na wanawake ni 892 sawa na asilimia 4.2.
JEDWALI 2, A IDADI YA WALIOPIMWA VVU
Idadi ya wanaume waliopimwa VVU
|
Waliogunduliwa na maambukizo ya VVU
|
asilimia
|
Idadi ya wanawake waliopimwa VVU
|
Waliogundulika na maabukizo ya VVU
|
Asilimia
|
18,976
|
552
|
2.9
|
21,084
|
892
|
4-2
|
Idadi ya wateja waliosajiliwa kwenye huduma za matunzo na matibabu ( CTC ) Januari hadi june / 2016 ni 723 kati ya hao wanaume ni 261 na wanawake ni 462.
Idadi ya wateja ambao wanaotumia dawa za ARV 770 kati ya hao wanaume ni 238 na wanawake ni 532.
JEDWALI ,2 B; WATEJA WALIOSAJILIWA HUDUMA ZA MATUNZO NA MATIBABU JANUARI NA JUNE 2016
IDADI YA WALIOSAJILIWA
|
WANAUME
|
WANAWAKE
|
723
|
261
|
462
|
JEDWALI, 2C; WATEJA WALIOANZA DAWA ZA ARV JANURI HADI JUNE 2016.
WATEJA WALIOANZA DAWA ZA ARV
|
WANAUME
|
WANAWAKE
|
770
|
238
|
532
|
JEDWALI 2, D; IDADI YA WAGONJWA WALIOANDIKISHWA HUDUMA ZA WAGONJWA WA NYUMBANI (HUWANYU).
Wateja ya waliondikishwa kwenye huduma za CTC.
|
Wanaume
|
asilimia
|
Wanawake
|
Asilimia
|
740
|
291
|
39.3%
|
449
|
60.6%
|
|
|
|
|
|
Waliandikishwa CTC lakin hawajaanza Dawa za ARV
|
Wanaume
|
asilimia
|
Wanawake
|
Asilimia
|
4,755
|
1,985
|
41.7%
|
2,860
|
60.1%
|
JEDWALI 2, E; RUFAA ZILIZOTOLEWA
JAN HADI JUNE/ 2016
|
RUFAA ZILIZOTOLEWA
|
RUFAA ZILIZOFANIKIWA
|
JUMLA
|
247
|
197
|
HUDUMA ZA KUZUIA MAAMBUKIZO KUTOKA KWA MAMA KWENDA KWA MTOTO (PMTCT) KWA JAN HADI OKTOBA MWAKA 2016.
JEDWALI 2, F; HUDUMA PMTCT YA KUPIMA VVU WAJAWAZITO (ANC)
H/MASHAURI
|
WAJAWAZITO
|
KIPIMO CHA KWANZA
|
KIPIMO CHA PILI
|
||||||
|
TEGEMEWA
|
HUDHURIA
|
WANA VVU TAYARI
|
USHAURI, 1
|
PIMA
|
HIV+
|
USHAURI
2 |
PIMA
|
HIV
|
TABORA MC
|
9,151
|
10,041
|
194
|
9,878
|
9,713
|
198
|
1,554
|
1,554
|
0
|
JEDWALI 2,G; WATOTO WALIOZALIWA NA MAMA WENYE HIV JANUARI HADI SEPT/ 2016.
Idadi ya watoto waliozaliwa na kina mama wenye VVU ni 305, ambao walioanzishiwa na NVP syrup ni 263 , watoto walioanzishiwa CTX ni 303, watoto 307. Watoto 13 waligundulika wameambukizwa VVU sawa na asilimia 4% waliopimwa kipimo cha kwanza cha DNA PCR kati ya hao waliopima kipimo cha kthibisha ( antibody ) watoto 93 kati ya hao waliombukiwzwa na VVU sawa na asilimia 1%.
CHANGAMOTO
Kipimo cha kuthibitisha maabukizi ya mtoto baada ya kunyonya umri wa miezi 18 wazazi wengi hawaleti watoto wao.
Kutoa anuani na majina ambayo sio sahihi hii hupelekea utoro
UTATUZI
Kuanzisha huduma za PHFS kwa huduma za mama na mtoto, ikiwa kuwa na siku maalumu ya kiliniki ya mama na mtoto, kuweka sticker kwenye CTC FILES.
Upimaji wa VVU kwa watoto , family test, routine HIV testing , kampeni za upimaji na uimarishaji wa klabu za watoto.
UANZISHAJI NA UENDESHAJI WA ‘SOBER HOUSE’ KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA TABORA
Halmashauri ya Manispaa ya Tabora inashirikiana na Tume ya Kikristo ya Huduma za Jamii katika Kuanzisha na kuendesha Mradi wa Kuwahudumia watumiaji, wategemezi na waathirika wa Dawa za Kulevya (Recovering Addicts)
Tume ya Kuratibu udhibiti wa Madawa ya Kulevya kupitia taarifa zake za kila mwaka inaelekeza uanzishwaji wa Makazi ya Kupata nafuu/Nyumba za Utilivu (Sober Houses) kwa waraibu wa madawa ya kulevya
Waraibu wanaopata matatizo mbalimbali ya kiafya basi mawasiliano hufanyika na Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Kitete na Kupata tiba stahili
Sober House kwa Tabora Manispaa ilianzishwa tare 15/09/2016 kwa kibali cha Muda cha Ofisi ya Katibu Tawala wa Mkoa na taarifa ziko tayari kwa Kamishina wa Tume ya kuratibu Udhibiti wa Dawa za Kulevya kwa ajili ya Usajili rasmi wa Kudumu
Kituo (Sober House) ina uwezo wa kuhudumia waraibu 18 kwa wakati mmoja na wa jinsia moja. Kwa sasa katika kituo kuna waraibu saba(7)
Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto na TAMISEMI kuwasiliana na Tume ya Kuratibu Udhibiti wa Dawa za Kulevya kwa ajili ya;
(a)Kupanua wigo (Scale –Up) ya Sober Houser katika Mikoa na Halmashauri na uanzishaji wa Huduma za Methodone. Aidha kuratibu Sera na Miongozo ya sera(Kama Ipo) ya kusaidia watumiaji, wategemezi na waraibu wa Dawa za Kulevya
(b) Huduma hii iwafikie pia watumishi wa Umma ambao wanaweza kusaidiwa badala ya ya kuchukuliwa hatua za kusimamishwa au kufukuzwa kazi mfano; Utegemezi katika Ulevi wa Pombe
©Kuwe na Programu za mafunzo kwa watoa huduma za Afya wanaowahudumia waraibu
HALI YA LISHE MWAKA 2015/ 2016:
NA |
MAELEZO |
MWAKA |
|||
2015 (JANUARI – DESEMBA ) |
ASILIMIA |
2016 (JANUARI –JUNI |
ASILIMIA |
||
1. |
Idadi ya watoto chini ya miaka 5
|
66,942
|
-
|
75,916
|
-
|
2. |
Watoto wenye hali nzuri
|
44,902
|
67
|
58,672
|
77
|
3. |
Watoto wenye utapiamlo wa kati
|
21,310
|
31
|
15,896
|
20
|
4. |
Watoto wenye utapiamlo mkali
|
730
|
1
|
1,348
|
2
|
MIKAKATI YA KUKABILIANA NA LISHE DUNI
CHANGAMOTO
Zifuatazo ni changamoto baadhi ya changamoto muhimu zinazoikabili sekta ya Afya;
Vituo vingi vya kutolea huduma za afya havina nyumba za watumishi hali inayopelekea usumbufu mkubwa wa mazingira ya utoaji wa huduma za afya kwa watumishi na wateja. Mahitaji ya nyumba za watumishi wa Afya ni nyumba 161 na nyumba zilizopo ni 23(14.3%) tu.
Kupungua kwa ukomo wa bajeti ya Matumizi mengineyo kutoka Tsh 156,156,000(Mwaka 2015/2016) hadi Tsh.58, 828,000 (2016/2017) ambayo ni sawa na punguzo la Tsh.97, 328,000 (62.3%) hali inayopelekea madai mbalimbali ya watumishi kutolipika. Kufikia tarehe 30.06.2016 madeni ya watumishi wa Idara ya Afya ni takribani Tsh 186,690,721/=
Ukomo mdogo wa bajeti ya ‘On Call’ ya Tsh.7, 200,000 kwa mwaka ukilinganisha na Mahitaji ya Tsh168, 420,000/= kwa mwaka. Hata hivyo katika robo ya kwanza na miezi miwili ya robo ya pili ya mwaka 2016/2017 hakuna fedha ya On Call iliyopokelewa
Uhaba wa watumishi, Idara ya afya ina jumla ya watumishi 267 kati ya watumishi 552 wanaohitajika. Upungufu ni watumishi 285 sawa na aslimia 51.6%. Hali hii inapelekea vituo vingi kuendeshwa na kusimamiwa na wauguzi pekee
Vifo vya mama wajawazito na watoto chini ya miaka mitano
Kiwango kikubwa cha hali ya maambukizi ya VVU/UKIMWI kwa asilimia 3.6%(Jan.2016 hadi Juni 2016)
Ukubwa wa tatizo la Mimba la Utotoni.
Kuisha kwa chanjo ya Surua Rubella (MR) pamoja na chanjo ya pepopunda (TT) kwa kipindi cha mwezi Julai 2016 hadi Septemba 2016 hivyo kuathiri juhudi zakuwafikia watoto waliolengwa kwa wakati.
JINSI YA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO
(a)Vituo vingi vya kutolea huduma za afya havina nyumba za watumishi
-Wananchi wamekuwa wakihamasishwa kuanza ujenzi wa nyumba za watumishi kwa nguvu zao na serikali baadae kusaidia umaliziaji
-Kuendelea kuweka katika bajeti ujenzi wa nyumba za watumishi
(b)Uhaba wa Fedha: Kuendelea kufanya ufuatilia fedha iliyoko katika Bajeti Hazina na Kuboresha makusanyo ya fedha za uchangiaji wa huduma za afya (TIKA, Papo kwa papo, NIHF)
©Uhaba wa Watumishi: Kuendelea kutenga nafasi za watumishi wa afya katika bajeti za Mishahara za Kila mwaka hasa kada za wauguzi na Matabibu
(d) Vifo vya mama wajawazito, Watoto, Mimba na Ndoa za Utotoni na Maambukizi ya VVU/UKIMWI
Kuendelea kuweka katika Mpango Kamambe wa Afya wa Halmashauri wa kila mwaka bajeti kwa ajili ya afua za matatizo husika ya Afya
(e) Kushirikisha wadau wa Afya: Wadau wa Maendeleo wa Afya wameendelea kushirikishwa kwa kuchangia raslimali za kutekeleza afua mbalimbali za Afya
Ofisi ya Mkurugenzi, Halmashauri ya Manispaa Tabora, 4 Barabara ya Kiwanja cha Ndege
Anwani ya Posta: S.L.P 174, 45182 Tabora
Simu ya Ofisi: +255 262606088
Simu ya Mkononi: +255
Barua Pepe: md@taboramc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.Haki zote zimehifadhiwa.