• Lalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
TABORA MUNICIPAL COUNCIL
TABORA MUNICIPAL COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MANISPAA YA TABORA

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mipango Miji na Ardhi
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • MIfugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Kata
  • Fursa za Uwekezaji
    • Fursa za Uwekezaji
    • Vituo vya Utalii
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Malalamiko
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi , Elimu na Afya
      • Kamati ya Maadili
      • Ukimwi
    • Ratiba
      • Vikao vya Halmashauri
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu za maombi
    • Miongozo, Sera na Kanuni
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha

ALAT MKOA WA TABORA WARIDHIKA NA UBORA WA MIRADI YA MAENDELEO YA MANISPAA YA TABORA

Posted on: January 14th, 2023

Na Alex Siriyako;

Jumuiya ya Tawala za Serikali za Mitaa Tanzania tawi la Mkoa wa Tabora imefanya ziara ya kukagua miradi ya maendeleo katika manispaa ya Tabora leo Januari 14,2023. Jumuiya hii ikiongozwa na Mwenyekiti wake Diwani Adam H. Malunkwi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo imekagua miradi ya maendeleo katika Manispaa ya Taboara.

Wajumbe wa ALAT wakiwamo Wabunge, Madiwani pamoja na Wakurugenzi wa Halmashauri nane(8) za Mkoa wa Tabora wamepata fursa ya kutembelea na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo katika sekta ya Afya, Elimu pamoja na Utawala. Miradi hiyo ni Jengo jipya la Utawala la Halmashauri ya Manispaa ya Tabora, Hospitali Mpya ya Manispaa ya Tabora ambayo imeshaanza kutoa huduma kwa wagonjwa wa nje(OPD), Shule ya Sekondari Uledi ambayo ni shule mpya na ipo kata ya Mpera na imeshaanza kupokea wanafunzi mwaka huu, Ujenzi wa Madarasa manne na Ofisi mbili shule ya Msingi Bombamzinga pamoja na Kiwanja cha uwekezaji kinachomilikiwa na ALAT Mkoa wa Tabora.

Aidha katika majumuisho ya ziara ya kukagua miradi hii ya maendeleo, wajumbe wamefurahishwa sana na ubora wa miradi husika na kuongeza kuwa thamani ya pesa iliyotumika inaonekana na vilevile wamewashukuru mafundi ujenzi kwa kufanya kazi kwa uzalendo mkubwa kwani pesa za Serikali muda mwingine zinakuwa hazitoshi mahitaji na ni lazima mradi husika ukamilike kwa fedha zilizopatikana.

Lakini vilevile Wajumbe wametoa ushauri na nasaha zao kwa Menejimenti ya Manispaa ya Tabora inayoongozwa na Mkurugenzi wake Dkt. Peter M. Nyanja kuwa mradi kama wa Jengo la Utawala ni wa Jengo la ghorofa na ni bora bajeti ya kuweka LIFTI(Elevator) ikaanza kutafutwa kwani jingo hilo kwa uzuri wake halifai kukaa bila LIFTI. Wajumbe wameongeza kuwa Mkurugenzi atafute fedha aweze kumalizia madarasa mawili na ofisi moja ambayo yameanzishwa kwa nguvu za Wananchi wa kata ya Isevya.

Kwa kuhitimisha ziara hiyo, Mwenyekiti wa ALAT Mkoa wa Tabora Mhe. Adam Malunkwi amewasihi wajumbe katika maeneo yao wajitahidi kukemea tabia za baadhi ya watu ambao kwa nia isiyokuwa njema wanafanya kazi ya kuzichafua Halmashauri za Mkoa wa Tabora, Chama cha Mapinduzi na Serikali kwa Ujumla, na kwa pamoja Wajumbe wameahidi kulifanyia kazi suala hili.

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE (CSEE) 2022 January 29, 2023
  • TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA KATIKA ENEO LA TULI KATA YA IFUCHA - INALA July 25, 2022
  • TANGAZO KWA WANANCHI NA TAASISI WALIOOMBA VIWANJA KATIKA ENEO LA INALA - TULI August 17, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2023 - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TABORA December 14, 2022
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA LAAC YAIPONGEZA MANISPAA YA TABORA KWA UJENZI WA MIRADI MIZURI NA UTOAJI WA MIKOPO YA 10% YENYE TIJA

    March 17, 2023
  • DC BURA AWAAGIZA WATENDAJI KATA KUONGEZA NGUVU NA HAMASA KATIKA KUSIMAMIA VIASHIRIA VYA LISHE

    February 15, 2023
  • MANISPAA YA TABORA YATOA MIKOPO YA FEDHA KIASI CHA MILIONI 437,300,000/= KWA VIKUNDI VYA VIJANA , KINA MAMA NA NA WATU WENYE ULEMAVU

    February 14, 2023
  • WALIMU 1680 WA MANISPAA YA TABORA WAPATA VISHIKWAMBI

    January 24, 2023
  • Angalia Zote

Video

TAARIFA YA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI AGOSTI 14, 2022 TABORA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Jarida la Halmashauri Julai - Septemba 2022
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri 2021/22 - 2025/26
  • Capital Investment Plan
  • Tabora Master Plan 2015 - 2035
  • eMrejesho ( Kutuma, kupokea na kufuatilia Malalamiko, Mapendekezo, Maulizo na Pongezi)
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Fursa za Uwekezaji
  • Kanuni za Maadili ya Utumishi wa Umma

Kurasa Zinazofanana

  • IKULU
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mkoa wa Tabora

Waliotembelea Tovuti

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.Haki zote zimehifadhiwa.