• Lalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
TABORA MUNICIPAL COUNCIL
TABORA MUNICIPAL COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA MANISPAA YA TABORA

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mipango Miji na Ardhi
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Fedha na Biashara
      • MIfugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Kata
  • Fursa za Uwekezaji
    • Fursa za Uwekezaji
    • Vituo vya Utalii
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Malalamiko
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi , Elimu na Afya
      • Kamati ya Maadili
      • Ukimwi
    • Ratiba
      • Vikao vya Halmashauri
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu za maombi
    • Miongozo, Sera na Kanuni
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha

WARATIBU ELIMU KATA WASAINI MIKATABA YA MPANGO WA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA UBORESHAJI NA USIMAMIZI WA ELIMU KWA MWAKA 2023

Posted on: January 20th, 2023

Na Alex Siriyako;

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Tabora Dkt. Peter Nyanja amewasainisha Mikataba ya Mpango wa utekelezaji wa shughuli za uboreshaji na usimamizi wa elimu kwa mwaka 2023. Tukio hili limefanyika leo tarehe 20 Januari, 2023 katika ukumbi wa Manispaa ya Tabora uliopo Makao makuu ya Halmashauri.

Mikataba hii kwa Waratibu Elimu Kata inafuatia maagizo ya Ofisi ya Rais-TAMISEMI ambapo Maafisa Elimu ngazi ya Mkoa waliingia Mkataba na Wizara hiyo, mkataba unaowataka wapate matokeo chanya katika mitihani ya ngazi mbalimbali katika mikoa yao.

Vilevile Maafisa hawa wa ngazi ya Mkoa wanapaswa kuingia mikataba na Maafisa elimu ngazi ya wilaya kwaajili ya kupata matokeo hayo. Halikadhalika Wakurugenzi wa Halmashauri wameingia Mikataba hiyohiyo na Waratibu Elimu Kata ambao nao wameingia mikataba hiyo na Wakuu wa Shule na Walimu Wakuu wa Shule.

Wakuu wa Shule na Walimu Wakuu wa shule nao wataingia Mikataba hiyohiyo na Walimu wa masomo ambao ndio watekelezaji wa zoezi zima la ufundishaji na ujifunzaji wa wanafunzi madarasani.

Mkurugenzi wa Manispaa ya Tabora Dkt. Peter M. Nyanja amewasisitiza Waratibu wakafanye kazi na wahakikishe vigezo vyote 23 vya upimaji na utendaji kazi katika mkataba huo vinatiliwa mkazo.

Matangazo

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE (CSEE) 2022 January 29, 2023
  • TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA KATIKA ENEO LA TULI KATA YA IFUCHA - INALA July 25, 2022
  • TANGAZO KWA WANANCHI NA TAASISI WALIOOMBA VIWANJA KATIKA ENEO LA INALA - TULI August 17, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2023 - HALMASHAURI YA MANISPAA YA TABORA December 14, 2022
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA LAAC YAIPONGEZA MANISPAA YA TABORA KWA UJENZI WA MIRADI MIZURI NA UTOAJI WA MIKOPO YA 10% YENYE TIJA

    March 17, 2023
  • DC BURA AWAAGIZA WATENDAJI KATA KUONGEZA NGUVU NA HAMASA KATIKA KUSIMAMIA VIASHIRIA VYA LISHE

    February 15, 2023
  • MANISPAA YA TABORA YATOA MIKOPO YA FEDHA KIASI CHA MILIONI 437,300,000/= KWA VIKUNDI VYA VIJANA , KINA MAMA NA NA WATU WENYE ULEMAVU

    February 14, 2023
  • WALIMU 1680 WA MANISPAA YA TABORA WAPATA VISHIKWAMBI

    January 24, 2023
  • Angalia Zote

Video

TAARIFA YA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI AGOSTI 14, 2022 TABORA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Jarida la Halmashauri Julai - Septemba 2022
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri 2021/22 - 2025/26
  • Capital Investment Plan
  • Tabora Master Plan 2015 - 2035
  • eMrejesho ( Kutuma, kupokea na kufuatilia Malalamiko, Mapendekezo, Maulizo na Pongezi)
  • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Fursa za Uwekezaji
  • Kanuni za Maadili ya Utumishi wa Umma

Kurasa Zinazofanana

  • IKULU
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mkoa wa Tabora

Waliotembelea Tovuti

world map hits counter

Waliotembelea Tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.Haki zote zimehifadhiwa.